Salam kwenu wana JF....Nina tatizo kwnye laptop yangu kwa hizi siku tatu zilizopita nalo ni Youtubu, Megashare, Daily Notion na baadhi ya mitandao ya kustream kuniletea ujumbe unaosema "couldnt load plug-in au Flash player doesnt work"...Well nimejaribu kuinstall upya Adobe flash player, Shockwave na air lakin hazijasolve tatizo...Nimejaribu kutumia Opera 11, 12.6,15, 16, Safari browser, Mozilla lakin hamna kitu..Crome atleast ndo inakubali kufungua youtube but my favourite browser ni opera na ndo haifanyi kazi...Anayeweza kunisaidia tafadhali.