Dear IT guys,
Naombeni mnisaidie jinsi ya kutatua hili tatizo.
Password ya kulog in as ''Admin'' nimeisahau maana ni laptop sijaitumia kitambo. OS ni Windows XP. Nimeweza ku-log kama guest mana haina password ila siona documents zozote zilizopo kwenye ''Admin'' a/c.
NB: Kama mada ifananayo na hii naomba mnipe link halafu mods muiunganishe. Nimetafuta bila mafanikio!
Asanteni wakuu!!