xampp inaboa, size kuubwa inazingua sometimes, uwe na utamaduni wa kuweka password kwenye phpmyadmin hata kama ni localhost, kuna baadhi ya script hazikubali database ambazo zina blank password mfano datalife-engine uwa inakataa kuendelea,
i recommend uniform server, its lite na inachapa kazi vizuri sana