Ondoa shaka mkuu,
Ingia kwenye website ya tcu, then fungua CAS halafu log in.
Kulog in utaingiza namba yako ya mtihani ya o' level na mwaka ulomaliza,
Then utaingiza password kwenye kibox kinachofuata.
Ukifanya hayo kwa usahihi bas akaunti yako itafunguka na utaona machaguo yote, kuanzia kuona selection zako, kuogeza program, kubadili mpangilio n.k.