B boblyy sams Member Joined Jul 1, 2015 Posts 27 Reaction score 34 Jul 21, 2016 #1 naomba ushauri wa faculty ipi ya kusomea ambayo ipo sokoni kwa wakati huu, ,nimesoma mchepuo wa pcm na ufaulu wangu waniruhusu kusoma faculty yoyote inayonihusu,,, msaada wakuu
naomba ushauri wa faculty ipi ya kusomea ambayo ipo sokoni kwa wakati huu, ,nimesoma mchepuo wa pcm na ufaulu wangu waniruhusu kusoma faculty yoyote inayonihusu,,, msaada wakuu
hassan mdidi JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 421 Reaction score 167 Jul 21, 2016 #2 hotel management hii ina ajira sana kwakwel kwan watalii ni weng sana hivyo kuongeza idadi ya watumiaj sawa dogo?
hotel management hii ina ajira sana kwakwel kwan watalii ni weng sana hivyo kuongeza idadi ya watumiaj sawa dogo?