kagelethedutch
Member
- Dec 14, 2015
- 12
- 14
Unatumia cd au usb flash? Umejaribu windows 10 ikagoma?Nshaumiza kichwa 4 some days na hii error c00000017 during installation mpk ikanibid niinstall Ubuntu ndo ikakubali lakin bado nahitaj kuinstalll windows na iyo error ni kikwazo so mwenye useful idea/Solution Plz share
Kwenye pc umeinstall antivirus?Both CD na flash nme2mia lakin bado, na ndo najarib win10 now
-Jaribu kubadilisha HDD ya hiyo PcNshaumiza kichwa 4 some days na hii error c00000017 during installation mpk ikanibid niinstall Ubuntu ndo ikakubali lakin bado nahitaj kuinstalll windows na iyo error ni kikwazo so mwenye useful idea/Solution Plz share