Help in gta iv

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Nimedownload gta iv niem insstall na ku i crack, lakini ina tatizo nikicheza baada ya dakika 5 inaanza shake. Nilipo tafuta chanzo via google nikaja gundua kuwa rockstar wametumia hiyo kama njia ya kuzuia piracy.
Kama kuna mtu mwenye patch ya ku solve hiyo naomba mtu anitupie
 

check na torrent mkuu,mimi yangu hata kuinstall ilikataa
 
Nimeidownload ikiwa na patches zake, lakini zinaelekea kutofanya vizuri. Tatizo la kwanza nililokumbana nalo baada ya installation ilikuwa linasoma vram ya pc yangu kuwa ni 52 mb badala ya 1600 mb, hilo ni kalisolve kwa kutengeneza txt commandline likakubari, lakini naona wengi wanalalamika matatizo yale yale
check na torrent mkuu,mimi yangu hata kuinstall ilikataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…