Hey guyz! I've got A boyfriend who really cares for me monetary wise!! The opposite side of the coin is that we have no marriage plans!. The way I look at him I dont see my future with him. Nataka kumuacha lakini nashindwa jamani. Alishawahi kunitamkia wazi, Babu yao aliacha laana kwao mtu yeyote aioe mchagga and he wont go against that! At the age of 24 I really need a serious relationship!! am sorry my Pal if you are reading this! Am not growing any younger!!!
Please members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?
Hapo kwenye masuala ya Uchaga tuwe makini sana..maana vinginevyo pataleta ugomvi hapa jamvini, iam talking through vivid examples which have raised misunderstandings right inhere, not even a week ago!...Coming back to your subject, Dada Vivian,unatakiwa kusoma ishara za nyakati, na uwe imara katika maamuzi...Una maana wewe umekatwa mikono na huwezi kusimama kwa miguu yako mwenyewe hadi umtegemee mtu akulipie hizo bills?...Shituka..u are wasting time, na utakuja kuujutia muda huo...Kama una uhakika kwamba hakuoi, why hesitate in decision?..Mfuate umwambie kuwa unataka kuolewa, na akwambie 'in face kinachoendelea....
Ha ha ha bibie nikisoma post yako hapo naona kabisa hapo hakuna hata mmoja aliempenda mwenzake wote mpo na faida fulani Jamaa may be anapenda awe na wewe kwa ajili ya ku show up na wewe upo kwake kimasilai zaidi!! No wonder watu hupaka dada zetu wa kichaga kwa ishu kama izi!! So we kama kweli unataka life just tell him (Najua ni ngumu) ila we mweleze uantaka future so afanye uamuzi (Kama kweli unampenda lakini)!!Hey guyz! I've got A boyfriend who really cares for me monetary wise!! The opposite side of the coin is that we have no marriage plans!. The way I look at him I dont see my future with him. Nataka kumuacha lakini nashindwa jamani. Alishawahi kunitamkia wazi, Babu yao aliacha laana kwao mtu yeyote aioe mchagga and he wont go against that! At the age of 24 I really need a serious relationship!! am sorry my Pal if you are reading this! Am not growing any younger!!!
Please members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?
EEH!
hii ni kali nyingine kutoka kwa vivian
nadhani wapwa tutaweka kambi hapa leo!
KAMATA SENSKSI KWA KWANZA!............
senksi
hehehehehe!And here is the PILLAR brainstorming! Haa! Mshiki! Kula SENKSI kwanza kabla sijamwaga mapwenti hapa!
Njoo kwangu natafuta mchumba wa kuishi nae wengi wao nao wapata wananichuna kumbe wana majamaa zao kisha wananiacha solemba kama vp we niPM kitu kusaidiana kunyimana mwiko jamani hata maandiko yanakataza.
This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli.
basi basi mama,Fidel there is something not good about you!!! do you know it?