Skillseeker,
Je nia ni ku'protect Skype tu au pia ku'record mambo yanayoendelea kwenye computer nzima?
Uwe muangalifu kwani kuna products zinaitwa kwa ujumla key-loggers, hizi zaweza kukuletea problems zaidi kama viruses na data kuibiwa kwani nyingi huwa sio legal (legal in terms on advertised functionality).
Kama ni ku'protect skype tu, kwa nini usi' log-off skype unapoiacha hiyo machine on?
Kweny machine yangu hata niki'lock screen wakati download zinafanyika, hizo huendelea bila taabu (Windows Vista Enterprise) sijui wewe na kama ku'lock screen itasaidia
View attachment 53681