T toxic JF-Expert Member Dec 11, 2010 771 158 Dec 12, 2010 #1 Bwana yesu asifiwe,asalaam aleikhum,nimependa kujiunga hapa kwa sababu ya habari huku ndani ziko informative na michango ya members wengi inaonyesha mtu za huku ndani ni ni vichwa.nimekuja shule na nimekuja ku'share' kidogo nilichonacho akhsanteni.
Bwana yesu asifiwe,asalaam aleikhum,nimependa kujiunga hapa kwa sababu ya habari huku ndani ziko informative na michango ya members wengi inaonyesha mtu za huku ndani ni ni vichwa.nimekuja shule na nimekuja ku'share' kidogo nilichonacho akhsanteni.