Hela yetu haina tena mvuto

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,372
Hii hela ni nyingi ila haina mvuto tena kutokana na kushuka thamani

 
Hata Shilingi 1 ya uganda utatumia Shilingi 6 za Tanzania kuipata... HONGERA SANA KIKWETE... wakati anaingia Hela yetu ilikuwa na tofauti ya Shilingi 200 nzima
 
Nikiona pesa kama hizo nafikiria 'boom' litatoka lini!
 
Hilo furushi hata gari ya maana hupati hapo, ni makaratasi matupu hayo
 
sera mbaya za uchumi unategemea nini?...utadhani kama Tanzania hakuna wachumi...wao kila kitu wamegeuza siasa...hakuna hata concrete plans za kuiokoa Tshs isizidi kuanguka...bado wao hawajaona kuwa kuporomoka kwa Tsh ni tatizo la dharura....mpaka maji yakifika shingoni ndo utasikia wanakuja na mpango wa kufufua uchumi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…