Mwl wa sayansi huyo wwMkuu unaenda kufundisha nini? maana nimeona uandishi wako unatia mashaka. Mfano(tulioajiliwa=tulioajiriwa, waziri = Waziri)
Sayansi ndiyo vilaza?Mwl wa sayansi huyo ww
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Huwa hawana weredi na lughaSayansi ndiyo vilaza?
OkeyHuwa hawana weredi na lugha
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mimi na lugha wap na wap,napiga zangu physics sina habari kabisa...mambo yenu ya lugha mnajua nyieMkuu unaenda kufundisha nini? maana nimeona uandishi wako unatia mashaka. Mfano(tulioajiliwa=tulioajiriwa, waziri = Waziri)
Huwa mnajifanya wabobezi kumbe hakuna lolote ni ubabaishaji, kama ni physics umeshindwa kuunda hata baiskel ya miti.Mimi na lugha wap na wap,napiga zangu physics sina habari kabisa...mambo yenu ya lugha mnajua nyie
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
weredi- welediHuwa hawana weredi na lugha
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji106]weredi- weledi
Tulia ww maisha magumuMkuu unaenda kufundisha nini? maana nimeona uandishi wako unatia mashaka. Mfano(tulioajiliwa=tulioajiriwa, waziri = Waziri)
Acha mbwembwe kijana lugha muhimu hata kama unafundisha nini.......Kumbe ndo maana mnafundisha lakini bado watoto wanafeli kwa upuuzi wenu huu.Mimi na lugha wap na wap,napiga zangu physics sina habari kabisa...mambo yenu ya lugha mnajua nyie
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app