Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
huwezi kuelewa kwa sababu linakugusa pabaya moja kwa moja.Sijui ubongo wangu unachagua vitu vya kuelewa,maana sijaewa kabisa
Unajinasibu kuandika mashairi hata kanuni za mashairi hujui, hakuna urari wa vina na mizani. Bull Shit!!!
Sijui ubongo wangu unachagua vitu vya kuelewa,maana sijaewa kabisa
Unajinasibu kuandika mashairi hata kanuni za mashairi hujui, hakuna urari wa vina na mizani. Bull Shit!!!
Padri slaa na Limbu ni mtu na Binamu yake
Naona Limbu yupo na Mbowe na Slaa wanapanga mipango.
Mkuu hii ni qaswida au kwaya!
wewe waona ni nini?
We Tatizo lako haujui aina za mashairi yaani mashairi ya kisasa (hamna ulazma wa kufuata kanuni za urari wa vina na mizani) na Yale ya kimapokeo ( huzingatia kanuni za urari wa vina na mizani). usijitape kukosoa vitu usivyovijuaa