mchanga wa Dar ni dhahabu, Kariakoo ndiyo hugusiKwani Dsm kuna nini cha ziada mpaka hekari moja iuzwe mil 180?
Yawezekana mimi ni mtu wa ajabu maana nafikiri tofauti kweli kweli.
Japo sina mil 180 but sijawahi kuona ulazima wa kumiliki kiwanja Dsm kwa ninavyoijua Dsm iliyojaa kero.
Mil 180 Madale? Kisa unatafuta kua miongoni mwa watu wanaoishi Dsm?
Bora ununue Pugu kajiungeni hakuna joto, altitude nzuri, hewa safi na kikubwa zaidi utapata bei za kawaida tu.
Hata ingekua Tanzanite, sijawahi kuipenda DsmMchaga wa Dar ni dhahabu, Kariakoo ndiyo hugusi