Heka heka za uchaguzi Msumbiji

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,974
Reaction score
13,429
Heka heka za uchaguzi Msumbiji

Wapiga kura nchini Msumbiji wanaendelea na shughuli ya kumchagua rais mpya na wabunge. Chama tawala cha Frelimo ambacho kimekuwa madarakani tangu taifa hilo lilipojinyakulia uhuru wake mwaka wa elfu moja mia tisa na sabini na tano, kinakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa chama hasimu cha Renamo.

Kampeni zilimalizika katika hali ya utulivu na mazingira ya hamrashamra, isipokuwa mjini Napula kaskazini mwa nchi.

Vurugu zilizuka kati ya wafuasi wa chama kinachotawala nchini humo cha FRELIMO na kile cha upinzani cha RENAMO. Polisi walilazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi kuwasambaza. Ripoti zinasema zaidi ya watu ishirini walijeruhiwa, na wengine kadhaa kukakamatwa. Mia

Chanzo: BBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…