Hedhi na tabia ya mahusiano ya wanawake

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
132
Je! Unajua kuwa mzunguko wa hedhi wa mwanamke, pia humsababishia mabadiliko ya uchaguzi wa mwanaume wa kuwa karibu naye? Mfano; baada ya hedhi mwanamke hupenda kukaa karibu na wanaume marafiki,wenye kushirikiana mambo mengine tu,mfano anakupitia kwenda kusoma discussion,mtakunywa chai basi. Wakati wa joto au yai kupevuka(ovulation) ,utaona unampitia kwenda discussion atasema anajisikia vibaya,au ameenda nyumbani...na mara unapita amepozi na njemba moja ya kiaina;

Wakati huu wanawake hupenda kuwa karibu na wanaume rough rough au gender contrast to them,wale wanaofikiri wana tabia na sifa za kiume zaidi kulingana na mtizamo wa mwanamke husika. Kama mzunguko huu wa tabia unajirudiarudia katika vipindi vya mwezi basi hii itakujulisha ni wanaume gani wanaweza kuwa washika mapembe au wakamua maziwa wa huyo discussion mate wake.



Chanzo: techtimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…