Heche: Tafsiri ya takwimu za waziri Mwigullu ni kwamba CCM imetengeneza mabilionea 5700 na Maskini/Mafukara 59,994,300

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,957
Akiongea katika kipindi cha The big Agenda kinachoongozwa na mtangazaji nguli Aloyce Nyanda kupitia Star tv mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema ni vema Wamachinga wapewe ardhi ili wafanye kilimo cha kisasa.

Heche amesema kuwapangua na kuwapanga upya Wamachinga kila baada ya miaka kadhaa hakujawahi kumaliza tatizo bali kuliongeza na sasa tuna mamilioni ya Wamachinga.

Heche anasema CCM haipaswi kujivunia kutengeneza mabilionea 5700 katika population ya watu milioni 60.

Nawatakia Sabato njema.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Back
Top Bottom