Mie ni mzima Ngushi,sawa!
Mzima wewe?
Ha haaaa haaaaaaa aisee! Nimemshangaa sana ndugaiMie ni mzima Ngushi,
Unajuwa wabunge wale wanajitahidi kujipendekeza kwa mkuu. Wanafanya kama sie wanawake tunavyojua kujipendekeza kwenu wanaume, hata ukijamba utasikia anakwambia "POLE BABY, HUJAUMIA" na hali anajua kabisa kuwa kujamba hakuumizi.
hapo ni mwendo wa kujikomba ili wapate mikate yao ya kila siku
ACACIA "wameidharau" ripoti ya Profesa Osoro kwamba kuwaaminisha watu kuwa wao wanachuma mapesa yote hayo "it doesn't make sense". Wamesema hata li kampuni kubwa la madini duniani BHP, halina utajiri huo licha ya kuwa na migodi katika nchi 10 duniani.Rais ajaye naye atataka afukue mikataba ya kuuza za serikali pamoja na kivuko cha MV Dar es Salaam, watalaumiwa Makatibu wa Idara na Manaibu waziri wa vipindi hivyo, kisha tunawaacha wahusika wakuu.
Mwizi ametubia Trilion 100, ni tahira pekee ndie atakayeamini hizi pesa zote zilalipwa, na ni mjinga pekee ndie ataona vyena kuwa Rais anapaswa kukaa chini na haohao wezi Acacia ili kuja kuwekeza tena. Huu ni unafki Mkubwa sana Rais ameuonesha, utakaaje tena na mwizi ambae amekuibia Trilion 100 halafu uongee nae aje tena kuwekeza kwako?
Aisee ndio maana Mimi naona Wabunge wawe na subra katika hili!ACACIA "wameidharau" ripoti ya Profesa Osoro kwamba kuwaaminisha watu kuwa wao wanachuma mapesa yote hayo "it doesn't make any sense". Wamesema hata li kampuni kubwa la madini duniani BHP, halina utajiri huo licha ya kuwa na migodi katika nchi 10 duniani.
Rais ajaye naye atataka afukue mikataba ya kuuza za serikali pamoja na kivuko cha MV Dar es Salaam, watalaumiwa Makatibu wa Idara na Manaibu waziri wa vipindi hivyo, kisha tunawaacha wahusika wakuu.
Mwizi ametubia Trilion 100, ni tahira pekee ndie atakayeamini hizi pesa zote zilalipwa, na ni mjinga pekee ndie ataona vyena kuwa Rais anapaswa kukaa chini na haohao wezi Acacia ili kuja kuwekeza tena. Huu ni unafki Mkubwa sana Rais ameuonesha, utakaaje tena na mwizi ambae amekuibia Trilion 100 halafu uongee nae aje tena kuwekeza kwako?
Uzuri wa wabunge wetu wana uthubutu wa kupongeza na kushangilia magoli yote, yawe ya kufunga au kufungwa. Kwa hiyo hilo lisikutishe mzee. Wacha wale posho ya kupongeza.Aisee ndio maana Mimi naona Wabunge wawe na subra katika hili!
Kwani kuna ubaya gani baada ya kufanikiwa waje kumpongeza!
Hivi itakuwaje siku acacia nao wakijibu hoja za prof osoro ikaonekana nao wanahaki?
Maana mpaka sasa tunashangilia kwa goli la kuongoza ila game haijafika mwisho
Nahisi hukumsikiliza Magufuli, yaani yeye kasema akae nao ili kama kuwekeza wawekeze tena. Sasa huu sio ujinga? Kulikuwa na haja gani kuisoma ile habari public na kutuaminisha kuwa tunaibiwa wakati alikuwa na uweze wa kuwaita na kuongea nao?Hata mimi nakubaliana na wewe ila nahisi kama angesema hataki majadiliano yoyote na hawa wawekezaji bado tungesema anajishtukia kwakuwa hataki kusikiliza upande wa pili, wengine tungemuita dikteta na mtu asiyekubali kushaurika. All in all hata kama mtu amekufanyia unyama kiasi gani kumpa nafasi kumsikiliza ni fair play before you make any further movement, na wakati huohuo unapata nafasi ya kumdadisi mwelekeo wa harakati zake
Hata mimi binafsi nasubiri sana nione mwisho wa hii vita ila aisee Watz mna hasira kali