Katika simu nilizotumia nimekuwa nikikutana sana na hii screen mirroring... Lakini nimekuwa siifuatiliagi.. Bt leo nilipoona nakaamua ku google then nikaenda hadi you tube.. Bt kuna vitu bado sijaelewa....
Je kunahitajika Internet connection...?
HDMI cable how its work..?
"nilichoona kwenye video you tube nimeona kama kuna njia mbili..
Ambayo ya HDMI cable..
Na njia nyingine hawatumii HDMI cable..
Je hizi njia zote mbili zinahitaji Internet connection..?
haihitaji internet kama ni samsung nafkiri wanatumia technology ya miracast na kama ni vifaa vya apple ni DNLA.
ni kama wifi tu inatakiwa simu pamoja na tv vyote visuport hio teknolojia.
jina la kitaalamu wanaita wireless display na zipo nyingi
-miracast
-airplay
-chromecast
-widi
-DNLA
kutokana na umero wa kampuni za technology hawajaafikiana bado technology ipi iwe standard ndio maana unaona zipo nyingi na zinafanya kazi moja
unatakiwa uhakikishe kwanza kama tv yako ina hio technology kwanza chukua remote ya tv nenda menu halafu angalia connection zake, au cheki specs zake online