Manji tumeona juhudi zake jinsi anavyojitolea kuisadia Yanga kwa Hali na Mali,hata akikodishiwa miaka Mia sawa tuu ili mradi final result tunaziona kwa macho sisi wenyewe wanachama wa Yanga. Hao Wazee waache njaa zao,kwanza hata wao wakiwa na timu sisi wanachama wa kawaida hakuna tunachonufaika nacho zaidi ya michango ya mara kwa mara inayoishia mifukoni na matumboni mwao.