St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,638
- 4,524
Wewe ni muongo, hakuna konda wa malori mwenye tabia hizo........................
halafu mbona mnapenda sana kutusengenya sisi watu wa uswazi............. Nitapiga mtu hapa siku moja..! ooohooo nyie endeleeni tu.....................LOL
Heading yako imewajumuisha wanaume wote wa uswazi, mimi nakaa uswazi Mwananyamala kwa Ali Manjunju, mbona sina tabia hizo, na hata wanandoa vijana wanaonizunguka wengi hawana tabia hizo...
Tatizo lenu kila jambo baya basi ni la uswazi, mnakosea bana...............
Kwani ni nini maana ya demokrasia...?
interpretation yako haiko sahihi,kwani uswahilini maana yake nn?ninavyojua mimi uswahilini ni kule wanakoishi waswahili,uzunguni wanaishi wazungu nk,so simaanishi vile wewe unavyohisi braa
"Kama unataka kupoteza sehemu ya uhuru wako ingia kwenye ndoa"
AMANI IWE NASI...
Ndoa ina sehemu kuu tatu, kizungu, kichinachina na kienyeji. Ndoa ya hawa jamaa ipo ktk hatua ya kienyeji.
Jistori ja kubumba....
Hawa ni wanandoa wawili vijana wanaoishi pamoja though hawana mtoto,bwana ni konda kwenye magari makubwa na bibi ni mama wa nyumbani tuu.Sasa soma kidogo moja ya maongezi yao asubuhi moja;
Bibi: naomba hela ya matumizi ya leo,kila kitu kimeisha ndani.
Bwana:mimi sina hela
Bibi:sasa kama huna hela unadhani mimi nitakula nini leo na wewe ukienda kazini unakula hukohuko?
Bwana:nishakwambia sina hela,kama unaona mimi huwa nakula kazini twende na wewe ukale huko kazini.
Bibi:lakini jana umekuja umelewa,sasa kama huna hela hiyo ya kunywea umepata wapi?
Bwana:we mwanamke acha kunisumbua,nitakuchenjia sasa hivi ohooo
Bibi:mi bora unichenjie lakini lazima uniachie hela ya matumizi.
Bwana:we mshenzi kweli,unajua hela inavyotafutwa,SI UENDE UKATO*** HIYO K***A YAKO ILI UPATE HELA YA KULA.
Bibi:anakuwa mpole huku machozi yanamtoka.
Baada ya mume kuondoka kwenda kazini,bibi huku nyuma kweli na yeye akajiremba safari huyo kutafuta pesa kwa njia aliyoambiwa na mumewe.
MY TAKE:
Hivi ndivyo maisha ya ndoa yalivyo jamani?kama watu hamko tayari kuoa kwann uharakie?na kama umemchoka mwenzakao si umuambie ukweli tuu kuliko vituko na dharau zote hizi kwa mwenzio.
Kwa nini una-generalize maisha ya ndoa ya huyo konda na mkewe huko uswahili kuwa ni matatizo na majibizano ya wanandoa wote kwenye jamii yote? Hapo mtaani kwenu kuna ndoa ngapi ambazo zinaenda vzr na wana ndoa wamekaa kimya? Kwa nini uchukulie mfano huu mmoja kuwatisha watu wasiingie kwenye ndoa? This is unfair!
nadhani horsepower hujaiona hiyo alama ya kuuliza,nimeuliza je haya ndio maisha ya ndoa?it's not a statement,it is a question,so sija generalise,by the way what is your opinion on this issue?