M msubhe JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 225 Reaction score 32 Aug 25, 2015 #1 Sihitaji kupimwa akili, Je, we uko tayari kupimwa akili kwa kushindwa kuelewa baya na jema? sema inatosha. Mungu ibariki TANZANI Mungu wabaliki watanzania. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Sihitaji kupimwa akili, Je, we uko tayari kupimwa akili kwa kushindwa kuelewa baya na jema? sema inatosha. Mungu ibariki TANZANI Mungu wabaliki watanzania.
M msubhe JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 225 Reaction score 32 Aug 26, 2015 Thread starter #2 ndugu mtanzania fanya uamuzi ulio sahihi kwa kuikataa ccm
M mowo Member Joined Jul 28, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Aug 26, 2015 #3 Yeyote anaye support CCM hakufuatilia yaliyokuwa yanaendelea Bungeni
M msubhe JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 225 Reaction score 32 Aug 26, 2015 Thread starter #4 Tunahitaji kuwaelimisha watanzania wote ili tuweze kuondokana na madudu ya ccm
fundi25 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 10,378 Reaction score 11,543 Aug 26, 2015 #5 labda lord lofa mkapa ndiyo akapimwe! ccm ni adui wa afya na ustawi wa watanzania!