Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 495
Eeeh unamaanisha kuwa ka bange ingekuwepo weweeeBange mbaya
SanaaaaaaaaBange mbaya
Kuna mtu kamwona yuda?....anapesa kishenzi.....kesha muuza yesu.Yesu. Halo Yohana ile pesa itume bac kwa M.pesa naona leo mtandao uko vizuri..
Yesu..Halo petro hivi mpaka saivi hujafika kanisani unafanyeje huko.
Yesu. Baada ya ibada kama kutakuwa na mwenye swali asisahau kunipigia kwenye namba yangu 07.... Na kwa maswali na mafunzo mengine tembelea katika ukurasa wangu wa fb
Endeleeni wakuu...
NAONA UNAKICHAA HEAVY..ELEWA MAANA NDO UCOMENT KAMA HUJAIPENDA KAA KIMYA KWANZA UNAJUA SHERIA ZA JF WEWE..AFU CHUNGA SANA MI NI MOD..Jitaidni kuheshimu dini za watu hata kama ni jukwaa la jokes kuna mipaka yake hivi senator Jr mtu atolee mfano kungekuwa zamani mama yako analiwa ndogo ungefurahi .lete jokes zenye nidhamu na ukome kutumia hilo jina kwa mambo yenu ya kijinga mbwa ww
Hata mimi kwa mbaaali nasikia harufu ya eric omondi!Erick omondi
Mleta joke angekuwa mbunifu, joke yake ingefurahisha sana.Imagine Kinjeketile angekuwa na simu angezungumzaje na wasaidizi wake.Acha ubwege wewee yesu alikua hakai kanisanii alafu hakuna kuimagine kwenye imani za watu mi nlitegemea useme imagine enzi za mkwawa kungekua na simu si wangekua wanawasiliana fasta kabla ya wajerumani kutia timu!.....
ingekua noma sana! ila sijui vocha wengepatia wapi!.....Mleta joke angekuwa mbunifu, joke yake ingefurahisha sana.Imagine Kinjeketile angekuwa na simu angezungumzaje na wasaidizi wake.
KWELI HII NI JOKENAONA UNAKICHAA HEAVY..ELEWA MAANA NDO UCOMENT KAMA HUJAIPENDA KAA KIMYA KWANZA UNAJUA SHERIA ZA JF WEWE..AFU CHUNGA SANA MI NI MOD..
ingekua noma sana! ila sijui vocha wengepatia wapi!.....