Samahani sana, mimi siombi kazi ila anahitajika Laboratory Assistant, awe amesomea kazi hii, na awe tayari kuhamia eneo la kazi, chumba atatafutiwa atalipiwa miezi 3 ya mwanzo, asiwe na familia.
Atakaye kuwa tayari anitumie private massage nimpe maelekezo zaidi, na hapo hapo anahitajika Nurse Assistant haraka, Na yeye taratibu ni zile zile kama za Lab. Assit.