HEALTH FITNESS TRACKER

HEALTH FITNESS TRACKER

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,306
Reaction score
89,456
Nauza health fitness tracker kwaajili ya afya, mazoezi na notifications. Kazi zake:

-Inapima mapigo ya Moyo.
-Inapima pressure ya damu.
-Inapima kiwango cha Oxygen katika damu.
-Inahesabu hatua ulizotembea.
-Inapima umbali uliotembea kwa siku.
-Inapima calories ulizoburn kwa siku.

Ukiunganisha na Bluetooth kwenye cm yako inaweza kufanya hivi:

-Inaonesha jina la mtu aliepiga.
-Inaonesha jina la mtumaji SMS.
-Unaweza kusoma SMS na notification yoyote ilioingia kwenye simu yako.
-Unasoma meseji kutoka WhatsApp Instagram Facebook Twitter WeChat etc.

Vilevile ina Saa, Alarm, Stopwatch na ni water proof IP67.

Unachaji kwa USB kwa kuchomoa mkanda mmoja na kuweka kwenye kichwa cha chaji au USB port ya computer.

Bei ni Tsh Elfu 40 50 75 na laki tu.

Nipo Ubungo DSM simu namba: 0758-095 750

Kwa picha za smartwatch za aina mbalimbali na bei tofauti tofauti nicheki 0758-095-750
IMG_20181006_201043_943.jpeg
IMG_20181006_125630_103.jpeg
IMG_20181007_103113_488.jpeg
FB_IMG_1537551551970.jpeg
FB_IMG_1534255433109.jpeg
IMG_20181007_130509_542.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom