fungi6 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 287 Reaction score 267 Jul 19, 2019 #1 Wale wazee wa jamvi natoa game za kimataifa head to head niulize game yoyote nikupe mchambuo wote na pia ushauri natoa kwa wale wanao tandika jamvi........karibu tushinde
Wale wazee wa jamvi natoa game za kimataifa head to head niulize game yoyote nikupe mchambuo wote na pia ushauri natoa kwa wale wanao tandika jamvi........karibu tushinde
MKUYENGE JF-Expert Member Joined Jun 26, 2019 Posts 4,106 Reaction score 4,619 Jul 19, 2019 #2 Head 2 head hata ukiingia soccer punter ipo acha kujifanya unasaidia watu msaada ambao wanaweza kujisaidia.
Head 2 head hata ukiingia soccer punter ipo acha kujifanya unasaidia watu msaada ambao wanaweza kujisaidia.