He wants it before taking shower....


It's saddens to know that a woman in love is absolutely incapable of applying all this unless she starts using more of her brain cells and less of her feminine heart..good advice erique
 
Last edited by a moderator:
Unaposema mnapendana halafu unarise question,unaicomplicate dhana nzima ya upendo
'
Kama mnapendanda "kimapenzi" na tayari mnaishi pamoja hii maana yake mnakubaliana na tofauti zenu!
 
Mimi naona na wewe una matatizo, kwani ananuka mpaka aoge, hata kama ananuka si wako, mpe cha kwanza maana mwenzio akiwa kazini alikuwa anakuwaza kwa hiyo akifika mawazo yote yako kwako si chakula wala kuoga. we mpe hicho cha kwanza, baada ya hapo muandalie maji, na mfuate uko bafuni mchezee unavyotaka naye atakupa cha pili. pia mbona hujatwambia usiku inakuwaje au pale alfajiri, ina maana yeye ni baada ya kazi tu na hakuna usiku au weekend? Hujatupa ukweli kamili otherwise na wewe una kasoro na masharti mengi ya usafi. Mme sometimes ni kama mtoto, mama lazima umdekeze, muogeshe, msafishe, mpeleke kitandani, mchezee uone kama hutapata penzi kamili
 
the hope of changing can only come from deep down inside of your heart. TRY TRY AND TRY AGAIN TILL U GET WHAT U WANT
 
hizi habari za kuwaletea watu hizi!!ona sasa mi nishajua wewe ndo SOPHY!!!
 

This is your private business. Hayatuhusu.
 
sema nae taratibu
Bwanaeeeee!atasema naye vipi sophy mwenyewe siye aliye leta hii habari!!kinacho nishangaza imeletwa sijui na dume!!!au ndo li mr lake sophy!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…