Aliyekariri nani kati yangu mie na wewe unayeparrot kama kasuku bila kutoa source na elaboration?
Hujawahi kusoma biblia na kuona Yesu anavyotaka sifa?
Kama ni kukariri basi nimekariri biblia inavyosema, with a reasoned critique that you can't dream of fathoming, let alone fathom.