Mr. Kilonzo Member Joined Aug 2, 2015 Posts 36 Reaction score 12 Aug 15, 2015 #1 Habari wana jamvi, Naomba msaada wa mahali ninapoweza kupata hard disk enclosure za laptop hdd. Zile za WD au Transcend zinapatika wapi, ziwe na speed ya 3.0 ni kwa ajili ya SATA hdd Nikijua na bei itasaidia zaidi Ahsanteni.
Habari wana jamvi, Naomba msaada wa mahali ninapoweza kupata hard disk enclosure za laptop hdd. Zile za WD au Transcend zinapatika wapi, ziwe na speed ya 3.0 ni kwa ajili ya SATA hdd Nikijua na bei itasaidia zaidi Ahsanteni.