Very true, siyo tu kuwafuga bali kuendelea kuwaogopa na kuwasujudia.Ccm haiwezi kurudi kwenye misingi yake. Kama enzi za Nyerere ilishindwa usitegemee huo muujiza sasa hivi.
Chama kitaendelea kuwafuga mafisadi kama kawaida yake.
Tuko na mwanamazingaombwe..., mtukufu... ataweza tu!!Ccm haiwezi kurudi kwenye misingi yake. Kama enzi za Nyerere ilishindwa usitegemee huo muujiza sasa hivi.
Chama kitaendelea kuwafuga mafisadi kama kawaida yake.
CHADEMA yenyewe haiishii kuwaogopa na kuwasujudia bali inaenda mbele zaidi na kuwakabidhi chama chote wakitumie kama wanavyopenda!Very true, siyo tu kuwafuga bali kuendelea kuwaogopa na kuwasujudia.
Kama Chenge anavyotesa CCM.CHADEMA yenyewe haiishii kuwaogopa na kuwasujudia bali inaenda mbele zaidi na kuwakabidhi chama chote wakitumie kama wanavyopenda!
yani nani hapo sasa anawapenda watanzania wote.........nisije nikachunguzwa ngoja nifunge moth yangu tu.Kwanza nakupa hongera kwa nafasi hiyo ya uitikadi na uenezi na pia nampa hongera na pongezi nyingi sana mwenyekiti kwa kazi kubwa aliyoifanya kumpata Pole Pole.
Wenye nia njema na wale waliotaka kuiona CCM inarudi katika misingi ya uwanzishaji wake basi watakuwa wana kubaliana na uteuzi huu wa Pole Pole..
Kabla ya katiba mpya binafsi nilikuwa simfahamu Mh Pole Pole, ila katiba mpya na kuelekea uchaguzi mkuu 2015 nilipata nafasi ya kmfahamu huyu katibu wa itikadi na uenezi wa chama..Pole Pole anaweza sanaa.
Katika teuzi zote uwaziri, URC, UDC nk. hapa mwenyekiti ameteu kweli kweli..
Bila shaka chama kitarudi katika mstari wake na hadhi na kusudio la kuanzishaa chama hiki..
ANGALIZO
Mh. Pole Pole anaweza asidumu au kumaliza muda wake katika nafasi hiyo kwa sababu ya itikadi na misimamo na hitaji lake kwa watanzania wote..
Huyu mh. anawataka watanzania bila kujali itikadi za vyama vyao lakini huyu aliyemteu ukimsoma vyema utagundua anawataka wanaCCM na siyo watanzania wote..hiki kitawagombanisha na kuwatenganisha vinginevyo hapa Pole Pole anatakiwa awe na akili zaidi ya kung'ota ili urafiki wao uweze kudumu..
IN SHORT hawa watu watashindwana mbeleni.
Wenye kunielewa wamenielewa.
yani nani hapo sasa anawapenda watanzania wote.........nisije nikachunguzwa ngoja nifunge moth yangu tu.
Polepole ni msaliti hatari na njaa yake ni mbaya,uzuri wa system inawatambua wachumia tumbo haraka na kuwapoza kwa vyeo,mifano ni mingi
Ccm haiwezi kurudi kwenye misingi yake. Kama enzi za Nyerere ilishindwa usitegemee huo muujiza sasa hivi.
Chama kitaendelea kuwafuga mafisadi kama kawaida yake.
Hivi mtu kuwa kiongozi kwenye chama na yeye anaitwa mheshimiwa!! Huyo ni ndugu Polepole inatosha
Ngoja aanze unafiki wake ndipo utakapojua namna anakubali ikulu kuwa LumumbaSidhani kama pole pole atakubali vikao vya chama vifanyike IKULU