itakuwa ni check trainChekereni sio check rain ni
CHECK RAIL (Yaani tahadhari ya reli inayokatiza barabara)
Kilimanjaro badala ya kilimakyaroKwanza kabisa
1. Chekereni: hili lilitokea na neno "chek rain" eneo lina maji mengi sana sina historia ndefu na eneo hili, wajuzi watanisaidia.
2. Maimoria: hapa ulikua uwanja wa Stefano "Memorial"
3. Ndafu: ilitokana na "Wonderful"
Kwa anaejua haya Kibosho anaweza kutusaidia wengine wanadai ilitokana na neno Kibo show yan kuonyesha muonekano wa kilele cha Kibo. Kiborlon pia
Majina ya watu sasa.
1. Peter English | Betiri kichaga
2. George eng | Kyorki kic
3. Jazieni
Na panalimwa sana vitunguu pale Chekereni.yes ni chech train, ni maeneo ambayo train ilikuwa inapita ( check the train )
Mboro ndo Mbuya kwasasa.
"Check Lane"itakuwa ni check train
hahahhahahahaha
ok inawezekana pia...ila uwezekano mkubwa ni check train maana ni maeneo train zilikuwa zinapita mkuu"Check Lane"
Hahaha, dahBob Marley - Bob Malya
Peter Tosh - Pater Tesha
wamakonde nao wana
Alpha blondy - Halufani Mbonde
Check TrainChekereni sio check rain ni
CHECK RAIL (Yaani tahadhari ya reli inayokatiza barabara)