Haya ni majina machache yaliyobadilishwa na Wachagga kutoka kingereza na sasa yamekuwa rasmi katika kiswahili

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,997
Kwanza kabisa
1. Chekereni: hili lilitokea na neno "chek rain" eneo lina maji mengi sana sina historia ndefu na eneo hili, wajuzi watanisaidia.
2. Maimoria: hapa ulikua uwanja wa Stefano "Memorial"
3. Ndafu: ilitokana na "Wonderful"
Kwa anaejua haya Kibosho anaweza kutusaidia wengine wanadai ilitokana na neno Kibo show yan kuonyesha muonekano wa kilele cha Kibo. Kiborlon pia

Majina ya watu sasa.
1. Peter English | Betiri kichaga
2. George eng | Kyorki kic
3. Jazieni
 
Kilimanjaro badala ya kilimakyaro
Kiboriloni badala ya kibo Alone
Chaliii badala ya charlie(champlin)
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom