Haya ndiyo maisha ya Mchaga hapa duniani na Akhera toka mwanzo wa dunia

Huyu jamaa alikuwa visionary sana hauwezi amini huku nchi za watu niliulizwa hiki kitabu kimasihara kumbe kipo library. Ndio nakisoma hapa aisee. Kuna watu walikuwa wanaona mbali sana.
 
Nimejifunza mengi sana kutoka kwa watani wangu wachaga hongereni sana katika ilo,na leo ndio nimepata ukweli maana nilifungwa kamba na mwarusha mmoja kuwa nyie na wao mambo mengi ya kimila na kitamaduni mnaendana
 
Hii imekaa poa sana , madogo itabidi tuwape majina ya kichagga wajue mila na tamaduni za nyumbani maana tunapokwenda na hizi english medium hata lugha yenyewe ya kichagga hawataiona ina maana bila kuwafosi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…