Bila kuwatajataja watu wa kaskazini hampati raha kabisaKulingana na Uzi uliopostiwa humu Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?
huu ni mrejesho wa maoni ya wanajf walio share makabila magumu / tata kwenye ndoa
Based on experiences Kwa walio na waliowahi kuingia ndoani
1. Waha ...
Hawa ndugu zetu walitajwa sana na Wana jf
2. Wapare
Pia walitajwa sana kuwa ni complicated sana kwenye ndoa
3. Chaga ( wamachame )
Pia wametajwa sana
4.wanyakyusa
Japo tumeonewa ....tupo social sana
5. Wagogo
6 wamakonde
View attachment 2716977
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nakazia....atupe sababu hapaWamakonde wana shida gani...
Na kule hao wamakonde hata hawakutajwa kama hYo mengine,Sababu za wamakonde Kua complicated please
sidhani kama wamakonde wana shida...labda atuambie yeye mleta madaNa kule hao wamakonde hata hawakutajwa kama hYo mengine,
Huyo anajaribu kupotezea ubingwa wa jana
Ooh kumbeHuyo anajaribu kupotezea ubingwa wa jana
Msukuma??? Au mhayaSijaona kabila langu likitajwa,uzi wa mwanzo hadi huu
Inamaana lipo vizuri eeeeh!!!!
Halafu umesahau wa kanda maalu.............
we kafanye kazi achana na mambo ya makabila, kwanza hakuna ukweli unaandika porojo tuKulingana na Uzi uliopostiwa humu Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?
huu ni mrejesho wa maoni ya wanajf walio share makabila magumu / tata kwenye ndoa
Based on experiences Kwa walio na waliowahi kuingia ndoani
1. Waha ...
Hawa ndugu zetu walitajwa sana na Wana jf ....wabishi + ushirikina heavyweight
2. Wapare
Pia walitajwa sana kuwa ni complicated sana kwenye ndoa
3. Chaga ( wamachame )
Pia wametajwa sana ....wababe sio Kwa wanaume tu .....hata wanawake
4.wanyakyusa
Japo tumeonewa ....tupo social sana
5. Wadigo
6 wamakonde
7. wakurya
Kupiga + mahasira kama yote
8. Wazaramo
Uswahili mwingi Hadi Kwa wazee
9. Wagogo
Wavivu ...... hawapendi Maendeleo but kuomba sana
10. wasukuma
Watu wema sana .....wanaupendo sana, ukarimu, wachapa kazi ila ... tatizo lao Moja kubwa.......wanaabudu sana ushirikina
View attachment 2716977
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ujuaji mwingi sana ingawa wanakua bado hawajuiWamakonde wana shida gani...
Wanapelekewa moto sana,Wamakonde wana shida gani...
Wazinzi sana. Kutoa K kwao siyo tatizo kabisaWamakonde wana shida gani...