Ni kweli ila hutakiwi kusema waziwazi.Mentioning the obvious can be very disconcerting. Nu kama kukuambia hapo ulipo waweza kufa ghafla wakakuchukua kukufukia chini ya ardhi bila wewe kujua kinachoendelea.Kuna watuwakiona mtu anaendesha gari zuri wanasema:anaendesha jeneza hilo! Kwamba eti hilo gari laweza kumwuua saa yoyote!