Inasemekana kuna kabila moja nchini kenya wanawake huwa wanawanyanyasa na kuwapiga wanaume zao.na hii picha ni ya mmoja wa wanaume ambaye amekutana na ukatili wa mke wake....jewanawake wa tanzania mnatamani kuwa na ubavu kama hili kabila la kenya?wanaume Tunasemaje kama hali kama hii ingekuwa na tanzania?
Wacha kuhamasisha upuuzi, wanawake wetu wanasifika ulimwengu wote kwa upole, ukarimu na ustaarabu!! Wapo wachache lakini Mikenya duuu!! Kwanza wanawake wao wana sura ngumu kuliko wanaume we unategemea amani hapo??