Hawapendi wanaume wenye wivu! Why?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,832
Hivi kuna sababu gani ya msingi inafanya hawa wadada wasipende mwanaume mwenye wivu wa kimapenzi,Kwa kweli mi ninao sana na ninaposikia mwanamke hapendi mwanaume mwenye wivu Najua tu anataka mwanaume mwenye moyo wa Plastic labda kwa hiyo Tujipange kwa hilo.
View attachment 1081738
 
Mie stori yangu inaenda mbali zaidi ya wivu, nadhani nina kilema. Nikimtokea mtu then anitolee nje sitaki hata rafiki yangu amsogelee! Huwa naamini yule ni shemeji yao kwani nimeshea hisia zangu kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…