Hawana hapewi talaka,,, huu msemo nimeambiwa na hawala baada ya kupotezana miaka mingi sana. Akatafuta namba yangu Mnyabi akapiga akaniambiwa hawala hapewi talaka. Yaani nikagundua hakuna wivu kwa hawala, no pain hata kama upo naye jamaa mwingine kampigia simu. Je wewe hawala unamchukuliaje?