BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
Ujumbe maridadi nadhani wameusikia
Hili suala hata mimi huwa nawashangaa sana wanawake (baadhi) anafanya starehe zooooote...Anajiharibu weee...Kuja kushtuka umri umeenda halafu anataka Mume mwema mwenye vigezo lukuki huku yeye sio mwema
M/mung mwenyewe kasema mwanamke mtulivu kwa kwa wanaume watulivu.
Mida imeenda ngoja kukucheNaomba wadada bado hawajaja
Ngoja waje hapa watoe Yao ya moyoni
Mkuu wapi kasema hivyo naomba msaada!!!M/mung mwenyewe kasema mwanamke mtulivu kwa kwa wanaume watulivu.
Hakuna mafanikio bila ushirikiano wa pande mbili hivyo wajifunze kwa baadhi ya hao wanaoanza maisha na bwana wa hali ya chini ila ana mipango mizuri ya maisha