Hawa voda wananichosha

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
3,399
Reaction score
1,746
Hv jaman mbna me cku kama mbil zmepita yan niknunua kifurush wanakomb muda mfupi wanamaliza wakati zaman nilikuwa niknunua 25mb nilikuwa hadi na bakisaha,na huwa c downloda ni kwaajil ya ku surf tu.

Au nawenyewe wamepandsha naul????,maana cwaelewelewi,kuna cku nikanunua data kama 50mb yan ndan ya 1h kwisha wakat natumia kisimu tu.

Naomb anayejua au kama tatzo n cm yangu anisaidie.
 
Hamia Airtel, jero tu, una surf siku nzima, ku dowload kama kawaida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…