Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Upo mama wa nyumbani?
mama wa nyumbaniππ
Uchumi wa kati huku haupoKweli tuko kwenye uchumi wa kati
Nipo nimejaa tele, nishajipikilisha hapa nasubiri wanangu waje kula.Upo mama wa nyumbani?
ushapikia watoto ππππau uko kwa jirani unapiga umbea
Babe leo uje.ushapikia watoto ππππau uko kwa jirani unapiga umbea
Sijakufokea ila sijapenda ulivyombandika sifa mbayaNi mkeoo π
Usinifokee
Nasubiri watoto watoke shule ili wale ndio mikaoshe vyombo. Kwasasa niko hapa kwa jirani napunguza stress, tunamjadili marehemu aloacha watoto 8 na mimba 4 na bado wawili walifariki na kila mtoto na mama yake. Halafu ana miaka 26 tu.ushapikia watoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au uko kwa jirani unapiga umbea
Kwani ni kweli?Sijakufokea ila sijapenda ulivyombandika sifa mbaya