Miaka mitano ijayo inaonesha wazi wanaume watakuwa wakutafuta km ilivyokuwa miaka ya 80 kurudi nyuma nasikia mwanamke kumpata ilikuwa tabu,
Sasa wanawake si wa kuvizia tena Ila tuendako wanaume watakuwa wakuvizia
View attachment 749734 si wa dalili hizi wanazozionesha wanaume wa karne hii