Kuna sehemu hapo nimeona umeandika ''NA MABINGWA WA KLABU BINGWA YA DUNIA''.Hebu fafanua, kisha kabla ya yooote naomba nikukumbushe kuwa hakuna dhambi kuubwa hapa JF kama Dhambi ya kukurupuka.Ni Bavarians au Mnyama Mweusi(The Black Beast). Mabingwa mara 22 wa Bundesliga, Mabingwa mara 15 wa Kombe la Shirikisho(DFB-Pokal), Mabingwa mara 4 wa Ngao ya Hisani(DFB-Supercup). Mabingwa mara 4 wa klabu Bingwa ya Ulaya, Mabingwa mara 4 wa Ligi ya Europa(UEFA Europa League) na Mabingwa wa Klabu Bingwa ya Dunia.Ni kinara wa kukaza mwanzo hadi mwisho wa mechi. Mpaka sasa wanaongoza kwa pointi 69 kwenye msimamo wa bundesliga, akifuatiwa na yBorussia Dortmund(BVB).Mbali na BVB, Leverkusen na Schalke04 pia zina upinzani mkubwa kwa klabu hyo. Manchester United, Real Madrid na AC Milan wamekeza mabilioni kuwapiku wajeruman hao, ila bado hawajafika kile kiwango kinachohitajika. Falsafa ya tikitaka ya Pep Guardiola itasaidia kuinyanyua Bayern kwa kiwango kikubwa, Barcelona wakae kando, sasa ni Bayern kutawala Ulaya na Dunia kwa ujumla. Longlive to you Glorious Bayern, We are with you all the way!
Kisha naomba ufafanuzi kwa kauli yako inayosema ''AC Milan wamewekeza Pesa nyingi kuwapiku wajerumani hao''Hivi Bayern na AC Milan hadhi zao ni sawa?AC Milan ni Baba wa Mafanikio ya Soka Duniani...Kuifananisha AC Milan na Bayern Munchen ni sawa na kufananisha mwanga wa Jua na wa Tochi...ShtukaNi Bavarians au Mnyama Mweusi(The Black Beast). Mabingwa mara 22 wa Bundesliga, Mabingwa mara 15 wa Kombe la Shirikisho(DFB-Pokal), Mabingwa mara 4 wa Ngao ya Hisani(DFB-Supercup). Mabingwa mara 4 wa klabu Bingwa ya Ulaya, Mabingwa mara 4 wa Ligi ya Europa(UEFA Europa League) na Mabingwa wa Klabu Bingwa ya Dunia.Ni kinara wa kukaza mwanzo hadi mwisho wa mechi. Mpaka sasa wanaongoza kwa pointi 69 kwenye msimamo wa bundesliga, akifuatiwa na Borussia Dortmund(BVB).Mbali na BVB, Leverkusen na Schalke04 pia zina upinzani mkubwa kwa klabu hyo. Manchester United, Real Madrid na AC Milan wamekeza mabilioni kuwapiku wajeruman hao, ila bado hawajafika kile kiwango kinachohitajika. Falsafa ya tikitaka ya Pep Guardiola itasaidia kuinyanyua Bayern kwa kiwango kikubwa, Barcelona wakae kando, sasa ni Bayern kutawala Ulaya na Dunia kwa ujumla. Longlive to you Glorious Bayern, We are with you all the way!
Bratha, nakubali mechi tano za mwisho na Milan, Bayern amekuwa akichezea kichapo. Ila Madrid na Man u wamebondwa xana tu! Najua unajikita kwenye vikombe saba vya UEFA, ila umefuatilia All Time World Club Rankings? kwa taarifa yako: Footballdatabase.com, Bayern ni ya tatu, huku Milan ikiwa 10. Footballclubrankings.com, bayern ni ya 2, huku milan ikiwa ya 9. Be real man, ongea kwa data, na sio kubishana! Viva Bayern!Kisha naomba ufafanuzi kwa kauli yako inayosema ''AC Milan wamewekeza Pesa nyingi kuwapiku wajerumani hao''Hivi Bayern na AC Milan hadhi zao ni sawa?AC Milan ni Baba wa Mafanikio ya Soka Duniani...Kuifananisha AC Milan na Bayern Munchen ni sawa na kufananisha mwanga wa Jua na wa Tochi...Shtuka
Na kwa taarifa yako, jana wameshinda 9-2 dhidi ya Hamburg SV. Kombe la Seria A patupu AC Milan, Coppa Italia out baada ya kupigwa na Juve kwenye robo fainali. Na Champions League kashapotezwa baada ya kuicharazwa na Barca(yale yale ya Deportivo La Coruna). Huwezi kulinganisha na Bayern Wanaotafuta vikombe v3 kwa mpigo(Trebble), na timu ambayo inayokamilisha ratiba. Nadhani umenisoma!Kuna sehemu hapo nimeona umeandika ''NA MABINGWA WA KLABU BINGWA YA DUNIA''.Hebu fafanua, kisha kabla ya yooote naomba nikukumbushe kuwa hakuna dhambi kuubwa hapa JF kama Dhambi ya kukurupuka.
Kaka, naomba nikwambie sikurupuki kwa kitu nachokiongea. naomba nikwambie, huwa nafuatia ligi tofauti barani Ulaya, hususan England, Scotland, Germany, Spain, Italy, France, Netherlands, Russia, Turkey and Ukraine. Hii huwa inanisaidia kuzijua zaid na zaid tim tofauti, hasa zile zinashoshiri klab bingwa. Bayern wamechukua kombe la klabu bingwa mara mbili. Mwaka 1976 alitwaa kuichapa Cruzeiro ya Brazil kwa 2-0. Na 2001 alitwaa kuichapa Boca Juniors ya Argentina kwa 1-0. kipindi hicho ilikuwa inaitwa kombe la mabara au Intercontinental Cup, ila baada ya 2005 ikaitwa FIFA Club World Cup. Najua cwez nkaandika kila kitu ila najitahidi kuwa brief. Nambie una lingine?Kuna sehemu hapo nimeona umeandika ''NA MABINGWA WA KLABU BINGWA YA DUNIA''.Hebu fafanua, kisha kabla ya yooote naomba nikukumbushe kuwa hakuna dhambi kuubwa hapa JF kama Dhambi ya kukurupuka.
Bratha, nakubali mechi tano za mwisho na Milan, Bayern amekuwa akichezea kichapo. Ila Madrid na Man u wamebondwa xana tu! Najua unajikita kwenye vikombe saba vya UEFA, ila umefuatilia All Time World Club Rankings? kwa taarifa yako: Footballdatabase.com, Bayern ni ya tatu, huku Milan ikiwa 10. Footballclubrankings.com, bayern ni ya 2, huku milan ikiwa ya 9. Be real man, ongea kwa data, na sio kubishana! Viva Bayern!
Bratha, nakubali mechi tano za mwisho na Milan, Bayern amekuwa akichezea kichapo. Ila Madrid na Man u wamebondwa xana tu! Najua unajikita kwenye vikombe saba vya UEFA, ila umefuatilia All Time World Club Rankings? kwa taarifa yako: Footballdatabase.com, Bayern ni ya tatu, huku Milan ikiwa 10. Footballclubrankings.com, bayern ni ya 2, huku milan ikiwa ya 9. Be real man, ongea kwa data, na sio kubishana! Viva Bayern!
Then nimeitembelea hii website yako Footballdatabase.com
Nilichokikuta huko ni zaidi ya uharo.
Eti Benfica, Man City, FC Porto na Borusia Dortmund wako juu ya AC Milan, haya ndio madhara ya hata wavuta bange kujuwa matumizi ya Computer.
hebu niambie hii website yako wanatoaje hizi ranking zao?
maana kungekuwa na kisanduku cha maoni wangeyaoga na kujisugulia matusi yangu...
Bro, naomba jitahidi kuwa mstaarabu. Hapa hatupo kutukanana, ila kueleweshana na sio kwa kubishana. Hizo tovuti nilikuonyesha ni trusted na endorsed, hata hivyo unaweza ukanionyesha tovuti zako ambazo wanaonyesha Latest Rankings. Naomba utofautishe ubora wa team na umaarufu wa team, AC Milan ni maarufu duniani zaidi ya Bayern ila sio bora zaidi ya Bayern. Ratings zilizotumika ni mathematical calculations, wanaangalia uzito wa mechi, home advantage, matokeo na goal difference. Mfano: fainali ni k60, nusu fainali k50, robo ni k40, makundi na 16 bora ni k30 na mechi za kufuzu ni k15, ambapo k ni weight index. Kumbuka hizi ni pointi znazotumika kuingiza ktk formula zao na si mahesabu halisi, FIFA Club World Cup, UEFA Champions League na Copa Libertadores wanatumia viwango hivi. Bayern wana 1934.52 points na Milan wana 1803.41points, naomba usichanganye ubora wa timu na umaarufu timu! Matusi kwangu hapana!Then nimeitembelea hii website yako Footballdatabase.comNilichokikuta huko ni zaidi ya uharo.Eti Benfica, Man City, FC Porto na Borusia Dortmund wako juu ya AC Milan, haya ndio madhara ya hata wavuta bange kujuwa matumizi ya Computer.hebu niambie hii website yako wanatoaje hizi ranking zao?maana kungekuwa na kisanduku cha maoni wangeyaoga na kujisugulia matusi yangu...
Bro, naomba jitahidi kuwa mstaarabu. Hapa hatupo kutukanana, ila kueleweshana na sio kwa kubishana. Hizo tovuti nilikuonyesha ni trusted na endorsed, hata hivyo unaweza ukanionyesha tovuti zako ambazo wanaonyesha Latest Rankings. Naomba utofautishe ubora wa team na umaarufu wa team, AC Milan ni maarufu duniani zaidi ya Bayern ila sio bora zaidi ya Bayern. Ratings zilizotumika ni mathematical calculations, wanaangalia uzito wa mechi, home advantage, matokeo na goal difference. Mfano: fainali ni k60, nusu fainali k50, robo ni k40, makundi na 16 bora ni k30 na mechi za kufuzu ni k15, ambapo k ni weight index. Kumbuka hizi ni pointi znazotumika kuingiza ktk formula zao na si mahesabu halisi, FIFA Club World Cup, UEFA Champions League na Copa Libertadores wanatumia viwango hivi. Bayern wana 1934.52 points na Milan wana 1803.41points, naomba usichanganye ubora wa timu na umaarufu timu! Matusi kwangu hapana!
Unazungumziaje ush4ndi wa 2-0 dhidi ya bibi kizee wa iItalia?Then mi sijakutusi mgosi.kisha labda nikuulize tu hivi hata kwa akili ya memkwa je Benfica, Porto na Man City au Dortmund ni Bora kuliko Milan?Ndio maana nikakwambia hizo web zimeandaliwa na wavuta Bange na wamung'unya ugolo.Hizo ndizo web ambazo Companero huendaga kisha anatuletea Data humu.
Unazungumziaje ushindi wa 2-0 dhidi ya bibi kizee wa iItalia?Then mi sijakutusi mgosi.kisha labda nikuulize tu hivi hata kwa akili ya memkwa je Benfica, Porto na Man City au Dortmund ni Bora kuliko Milan?Ndio maana nikakwambia hizo web zimeandaliwa na wavuta Bange na wamung'unya ugolo.Hizo ndizo web ambazo Companero huendaga kisha anatuletea Data humu.
Unazungumziaje ush4ndi wa 2-0 dhidi ya bibi kizee wa iItalia?