Si mumewachagua wenyewe na mtawachagua tena,sijui kile kiwanda(?) cha tangawizi ambacho mh Anne alikuwa akitupigia kelele kila siku kimeishia wapi mkuu,maake hatusikia tena kama tayari kinafannya kazi na ufanisi wake wa kuwakomboa kiuchumi hao wananchi wake
Na wakampigia makofi,huko Njombe,kada wa CCM kawaingiza mkenge watu wa Lupembe kanunua kiwanda cha chai kwa ujanja ujanjanahadi msitukaukomba hicho kiwanda kilikuwa ni cha wakulima wa Lupembe,na nadhanihata hicho kwa Makamba nachokinamilikiwa na huyohuyo jamaa,sasa kama Mbunge ambaye ni waziri January Makamba kashindwa kuwasaidia wananchi wake huyu Kinana ndio nani ?au kuwa katibu mkuu wa CCM kunampa mamlaka bandia ya kutoa maamuzi?kwa sasa mwenye maamuzi nchi hii ni raisi peke yake,na hata yeye maamuzi yake mengi yanapuuzwasembuse Kinana,ambaye tuko sawa tu naye,hajapigiwa kura popote zaidi ya kuteuliwa na Kikwete.Juzi Kinana alikuwa Bumbuli huko Lushoto na kati ya mambo muhimu aliyoyafanya ni "kuwahakikishia" wananchi kwamba kiwanda chao cha chai kitarudi mikononi mwao na aliiagiza Serikali kuhakikisha hilo linafanyika haraka iwezekanavyo. Nahisi ziara itakayofuata ni ya "kiwanda cha tangawizi" huko Upareni. Maigizo hayaishi nchi hii.