changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Apr 19, 2023 Thread starter #61 Ladder 49 said: Napoli chali huko kama ulivyotabiri. Hawana uwezo wowote napoli wakufikA fainali Click to expand... Wameumaliza mwendo, Ac Milan wakomae wapunguze gap kwa Madrid ya mataji ya champions league
Ladder 49 said: Napoli chali huko kama ulivyotabiri. Hawana uwezo wowote napoli wakufikA fainali Click to expand... Wameumaliza mwendo, Ac Milan wakomae wapunguze gap kwa Madrid ya mataji ya champions league
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,840 Reaction score 12,600 Apr 19, 2023 #62 changaule said: Wameumaliza mwendo, Ac Milan wakomae wapunguze gap kwa Madrid ya mataji ya champions league Click to expand... Ac Milan hawawezi kutoboa kwa Inter
changaule said: Wameumaliza mwendo, Ac Milan wakomae wapunguze gap kwa Madrid ya mataji ya champions league Click to expand... Ac Milan hawawezi kutoboa kwa Inter
Dish JF-Expert Member Joined Jun 3, 2019 Posts 628 Reaction score 930 Apr 19, 2023 #63 dos.2020 said: Ac Milan hawawezi kutoboa kwa Inter Click to expand... Ngoma ya watoto haikeshagi
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,302 Reaction score 31,719 Apr 19, 2023 #64 dos.2020 said: Ac Milan hawawezi kutoboa kwa Inter Click to expand... Inter ni mbovu
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,840 Reaction score 12,600 Apr 19, 2023 #65 ukikaidi utapigwa2 said: Inter ni mbovu Click to expand... utarudi hapa
DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,476 Apr 20, 2023 #66 raraa reree said: Hili pia nashangaaga sana hizi timu kubwa zinatoa pesa nyingi hivi ni kwa ajili ya kujitangaza ama nini Japo pesa ni zao ila pia ziendane na thamn ya mchezaji mtu kama anthony eti 100m 😳 Click to expand... Matatizo ya timu kubwa hayo. Wakienda sokoni kusaka vipaji, kila mtu anapandisha dau, si wanajua pesa ipo. Kwa hiyo tusiwalaumu sana Simba.
raraa reree said: Hili pia nashangaaga sana hizi timu kubwa zinatoa pesa nyingi hivi ni kwa ajili ya kujitangaza ama nini Japo pesa ni zao ila pia ziendane na thamn ya mchezaji mtu kama anthony eti 100m 😳 Click to expand... Matatizo ya timu kubwa hayo. Wakienda sokoni kusaka vipaji, kila mtu anapandisha dau, si wanajua pesa ipo. Kwa hiyo tusiwalaumu sana Simba.