Mkuu hao bado wanafanya kazi nchini na juzi kati mmetoka kuagiza headset, Na nililipia kiasi na mzigo ulipofika nikamalizia kama ww unavyoambiwa hapo.
Nachowapendea ni waaminifu na mzigo unakuja kwa wakati, wanakuja na risiti kuonyesha pesa uliyolipa na unayopaswa kulipa.