Hawa jamaa wanaishangaa Tanzania

Ni kweli Kabisa, wapi Pierre nkurunzinza, nae atakuwa anashangaa kweli..!
 
Ni kweli Kabisa, wapi Pierre nkurunzinza, nae atakuwa anashangaa kweli..!
hapo hakuna cha kushangaa, ni sawa na kuhamisha gels mkono wa kushoto kuwekawa kulia.mbona zanzibar hawataki kumkabidhi sharif?
 
Kwani wameachia madaraka hapo? huo ni usanii na hata hao wanajua na walishashema sana sana wanajiandaa na wao kubadili mfumo wa udikteta kutoka wa mtu binafsi kuwa wa kichama, unamuachia madaraka mtoto au rafiki au unayempenda bila kujali kapata kura ngapi, bila kujali nani chaguo la wananchi. Na kwa uchaguzi huu dunia ndio imejua unafiki wa viongozi wa Tanzania na upuuzi wa kupiga kelele kuhusu democracy.
 
Africa hamna demokrasia. Wanashangaa unAfiki wa CCM kuigiza demokrasia
 
wanashangaa aina mpya ya udikteta hawajawahi kuuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…