Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Bacteria wasioonekana hao waliokuwa kwenye Nyama.
Nyama inapoandaliwa lazima inzi atue juu yake. Ukifika home huwa unaosha lakini si uchafu wote unatoka. Inzi anapotua tu, huanza kuzaa, mayai yake huwekwa mahali penye mficho wala sio juu hadharani, eg ndani ya utumbo au penye mkato ulioingia ndani bila kukatika kabisa.
Ulipoosha na kuweka kwenye freezer, wale mayai wakaanza kuishi, tena umeme ulipokatika, ikawa mazingira mazuri ya kuanza maisha. Asikudanganye mtu ati bacteria hugeuka funza. Hapo mkatalie. Funza ni stage flan ya inzi, baada ya yai
Mangatara emeeleza vizuri sana! Ila Savimbi Jr kachemka vibaya, eti bacteria anageuka kuwa funza? Tangu lini bacteria akaonekana kwa macho uchi?
Acha ubishi ndugu,Chukua chakula kichemshe weka na maji kichemke hadi kufikia nyuzi mia Kuua hayo mayai ya nzi Kisha kifunike kisiguswe tena na nzi halafu uje na jibu kitatoa funza au lah,tusibishane kishabiki fanyeni utafiti kwanza Kisha mrudi na majibu.
Nilipata safari ya dharura nikiwa nimeacha nyama kwenye friji. Huku nyuma umeme ukaisha. Cha ajabu nimekuta nyama inatoa funza wakati friji ilikuwa imefungwa kabisa. Hawa wadudu wametokea wapi? Wamejiumba?
Hii mada tushaijadili kitambo humu na wala hatujafikia muafaka, uloandika hapa na mimi niliuliza.
Mangatara emeeleza vizuri sana! Ila Savimbi Jr kachemka vibaya, eti bacteria anageuka kuwa funza? Tangu lini bacteria akaonekana kwa macho uchi?
Bacteria hawezi ku evolve kuwa funza funza ni funza na bacteria ni bacteria tu,funza(maggots) anaowazungumzia mtoa mada ni hatua ya pili kati ya zile nne wanazopitia inzi kabla ya kuwa kiumbe kamili ambazo ni, 1.Egg 2.larva(maggots)ambao ndio funza,3.pupa na 4.imago ambaye ni nzi kamili.Bacteria ni mojawapo tu ya factor nyingi zinazotakiwa ili chakula kiweze kuoza.
Na wale funza wa chooni ambao siku zote hubaki kuwa funza. Sipingi ulichokielezea hapo juu, maana nimeshawahi pata msaada polini, nikaona inzi wa kijani akitua kwenye mzigo anaacha funza na wanatembea kabisa, illa nataka elimu zaidi mkuu.
Nilipata safari ya dharura nikiwa nimeacha nyama kwenye friji. Huku nyuma umeme ukaisha. Cha ajabu nimekuta nyama inatoa funza wakati friji ilikuwa imefungwa kabisa. Hawa wadudu wametokea wapi? Wamejiumba?
Mkuu hii sayansi naikumbuka kwa mbali.... labda tu kuwa pamoja... ina maana wale funza wa chooni kama vyoo vya shuleni baadae (saint Kanumba) wanageuka kuwa nzi wakifika stage ya 4?Mangatara emeeleza vizuri sana! Ila Savimbi Jr kachemka vibaya, eti bacteria anageuka kuwa funza? Tangu lini bacteria akaonekana kwa macho uchi?