Hawa CNN wanaboa kweli, kwanini hawataki Tanzania Isikike?Au wanao kuwa inafuta usanii wote?

Hiyo hotuba unayotaka waipe airtime ya kutosha itakusaidia nini wewe? kaa tujadili mambo yetu ya leo na kesho achana na Hotuba za kwenye MISIBA hazitakusaidia kitu.
 
Hiyo hotuba unayotaka waipe airtime ya kutosha itakusaidia nini wewe? kaa tujadili mambo yetu ya leo na kesho achana na Hotuba za kwenye MISIBA hazitakusaidia kitu.

haha...umenimaliza kabisa.
 
kama unakumbukumbu cnn waliamriwa kuiomba radhi tanzania sakata la malawi na ziwa nyasa hivyo hawawezi ku side na tz. mambo yote bbc na enca.

watakuwa upande mbaya wa historia kwa miaka kadhaa ijayo.Yes hata TZ pia tulichanganya sana mambo kipindi cha ukombozi ila mwisho wa siku net effects zikawa tumefikia malengo ya ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…