Yani watu wa humu mtu akileta jambo mnamdharau kweli
Sio mimiSi ndo kale kademu ulikasindikiza guest?[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapana ni raia tuUna soma nae?
Hapo sawa ulikua hujaiweka vizuriWapi sasa nimekudharau mkuu?
Umeuliza kama umtumie sms au uuchune..mimi nimeshauri uwasiliane nae umtakie happy birthday pia umwambie humchukii, wapi nimekosea ndugu?